Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, January 7, 2015

Vifo Vinavyosababishwa Na Uvutaji Wa Sigara.

Uvutaji wa sigara peke yake unasababisha asilimia 20 ya vifo vyote vya kansa duniani na asilimia 70 ya vifo vinavyotokana na kansa ya mapafu.
Kumbuka madhara haya yanaweza kukupata hata kama huvuti moja kwa moja ila unakaa karibu na wanaovuta.
Moshi wa sigara una kemikali hatari sana zinazosababisha kansa.
Epuka moshi wa sigara.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment