Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, January 2, 2015

NENO LA LEO; Umuhimu Wa Kuchepuka…

Without deviation from the norm, progress is not possible. –Frank Zappa

Bila ya kuchepuka ni vigumu kuona mabadiliko/mafanikio.

Kama unafanya kile ambacho kila mtu anafanya, utaishia kupata matokeo ambayo kila mtu anapata. Na mara nyingi matokeo ambayo kila mtu anapata ni ya kawaida.

Hivyo unapokwenda na kundi unaishia kuwa wa kawaida.

Ili kuweza kufikia mafanikio zaidi ya kawaida unahitaji kuchepuka, yaani usifuate kundi, kimbia mbio zako mwenyewe.

USIFUATE KUNDI

Angalizo; Uchepukaji ninaozungumzia hapa sio ambao asilimia 99.99 ya watu waliofungua makala hii wanafikiria. Nazungumzia kuwa tofauti, kuwa wakipekee, kuwa mbunifu.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment