Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, January 14, 2015

NENO LA LEO; Jambo Moja La Kukumbuka Pale Mambo Yanapokuwa Magumu.

When everything seems to be going against you, remember that the airplane takes off against the wind, not with it. –Henry Ford

Wakati kila kitu kinaonekana kwenda kinyume na wewe, kumbuka kwamba ndege huwa zinaenda kinyume na upepo na sio kufuata upepo.

Jinsi unavyovuka vikwazo ndio unavyozidi kuwa imara na ndivyo unavyoweza kufika mbali zaidi.

Usikate tamaa pale mambo yanapoonekana kuwa magumu, jua unajiandaa kuwa bora zaidi ya ulivyo sasa.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment