Yaani mwaka 2015 ukifika, nitabadilisha kabisa maisha yangu…
Mwaka 2015 nitaanza biashara yangu…
Mwaka 2015 nitaacha kunywa pombe…
Mwaka 2015 nitaanza kufanya mazoezi….
Haya sasa mwaka 2015 ndio huu hapa na unaanza kuchakaa.
Je umeshaanza kutekeleza yale uliyojiahidi?
Kama bado unasubiri lini, kesho? Umechelewa.
Au unasubiri mambo yawe mazuri, Hayatakuwa.
Kama kuna chochote unataka kufanya mwaka huu JUST DO IT, yaani ANZA KUKIFANYA. Anza kwa hatua yoyote ambayo itakufikisha kwenye lengo lako.
JUST DO IT, maneno weka pembeni.
0 comments:
Post a Comment