Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, January 13, 2015

NENO LA LEO; Swali Muhimu Sana Kujiuliza Kwenye Maisha Yako.

The question isn’t who is going to let me; it’s who is going to stop me. –Ayn Rand

Swali muhimu la kujiuliza sio nani atakayekuruhusu bali nani atakayekuzuia.

Hakuna mtu aliyetayari kukuruhusu wewe ufanye kitu kikubwa kwenye maisha yako. Lakini kuna wengi sana watakaokuzuia wewe kufanya mambo makubwa kwenye maisha yako.

Wajue watu hao na jua jinsi ya kukabiliana nao.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment