Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, January 4, 2015

Sikukuu Zimesisha Sasa Kinachoanza Ni Kazi..

Wiki chache zilizopita zimekuwa wiki zenye sikukuu na mapumziko mengi.
Tumekuwa na sikukuu za krismas na hata mwaka mpya.
Katika sikukuu hizi watu wengi walipumzika na kupata starehe pia.
Sasa msimu wa sikukuu unaisha rasmi leo na kesho jumatatu kazi zinaanza kwa kasi ya ajabu pia.
Licha ya kuanza kwa kazi kuna majukumu mengi ambayo yapo mbele ya watu wengi.
Huenda una watoto wanahitaji ada ya shule..
Huenda unahitajika kulipa kodi ya nyumba na hata huduma nyingine.
Jioange vizuri maana mwezi huu unaweza kuwa mgumu sana kwako.
Nakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako.
TUPO PAMOJA.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment