Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, January 9, 2015

NENO LA LEO; Hiki Ndio Kitu Cha Wewe Kuanza Kufanya.

Do what you can, where you are, with what you have. –Teddy Roosevelt

Fanya kile unachoweza kufanya, hapo ulipo na kwa kutumia kile ambacho unacho.

Swali; Sasa mimi naweza kufanya nini kwa hapa nilipo?

Jibu; Fanya kile unachoweza kufanya, hapo ulipo na kwa kutumia kile ambacho unacho.

Kumbuka kauli mbiu ya mwaka huu ni JUST DO IT.

Hivyo anza kufanya sasa ukipatia umefanikiwa, ukikosea utajifunza, hakuna utakachoweza kupoteza hasa kama unaanzia chini kabisa.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment