Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, January 20, 2015

NENO LA LEO; Mafanikio Sio Mwisho, Kushindwa Sio Kiyama…

“Success is not final, failure is not fatal: it is the courage to continue that counts.” Winston Churchill

Mafanikio sio mwisho, kushindwa sio kiyama; ni ujasiri wa kuendelea ndio unaohitajika.

Usifikiri ukifikia mafanikio ndio mwisho wa kila kitu, mambo bado yanaendelea sana.

Kushindwa sio mwisho wa dunia, maisha bado yanaendelea.

Ujasiri wa kuendelea na malengo na mipango yako ndio utakaokuwezesha kuboresha maisha yako.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment