It does not matter how slowly you go as long as you do not stop. –Confucius
Haijalishi una mwendo mdogo kiasi gani iwapo hutosimama.
Kukimbia kwa kasi sana halafu ukasimama ni mbaya kuliko kwenda taratibu na bila ya kusimama.
Unapoanza jambo lolote ni muhimu kukomaa nalo mpaka ufikie mafanikio. Hata kama huoni mafanikio kwa sasa, endelea kufanya kile unachotakiwa kufanya, baada ya muda utaona matunda.
Nakutakia siku njema.
0 comments:
Post a Comment