Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, January 8, 2015

NENO LA LEO; Huu Ndio Mwanzo Wa Mwisho Wa Maisha Yetu.

Our lives begin to end the day we become silent about things that matter. –Martin Luther King Jr.

Maisha yetu yanaanza kufikia mwisho pale tunapokaa kimya kwa mambo ambayo tunayajali.

Kama kuna jambo ambalo unalijali sana kwenye maisha yako usilikalie kimya hata kama mambo ni magumu kiasi gani. Endelea kupigania kile unachokiamini na siku moja mambo yatakuwa mazuri sana.

Ukikata tamaa ni kuona huwezi unakuwa umekubali mwenyewe kuanza kutengeneza mwisho wa maisha yako.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment