Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, January 9, 2015

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Akili Yako Vizuri Na Ikakuletea Kila Unachotaka

Kama UTATUMIA AKILI YAKO VIZURI ni vigumu sana kushindwa kuishi maisha unayotaka.
Tambua kikubwa ni kuweza KUTUMIA AKILI YAKO VIZURI. Na ni vigumu sana kuitumia akili yako hasa kwenye ulimwengu wa sasa ambao kila mtu anataka uangalie anafanya nini. Huyu anakutumia video ya vichekesho, yule anakutumia picha yaaani ni fujo tupu.
Nimetafakari na kupata njia moja ambayo itaweza kukusaidia japo kuielekeza akili yako kwenye kile unachotaka.
Hivyo nimekuletea kitu kinaitwa KURASA 365 ZA MWAKA 2015. Kila siku kwa siku zote za mwaka huu 2015 utapata makala fupi sana itakayokufanya ufikirie maisha yako zaidi na baada ya hapo utakuwa na tamko la siku ambalo utalifanyia kazi.
Kwa kufanya hivyo kwa siku hizi 365 maisha yako yatabadilika sana na utaanza kuona yale unayoyataka yakikusogelea.
Kujua zaidi bonyeza hapa http://makiritaamani.blogspot.com/2015/01/kurasa-365-za-mwaka-2015-fursa-muhimu.html

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment