Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, January 16, 2015

NENO LA LEO; Njia Bora Ya Kujifunza.

“One learns by carrying out a thing; for though you think you learn it, you don't have a certainty until a person try” Sophocles

Mtu anajifunza kwa kufanya mambo; unaweza kufikiri unajifunza ila hujajifunza chochote mpaka pale unapojaribu kufanya.

Katika kufanya ndiko unakojifunza kweli, maana kama utakosea utajifunza njia ya kukwepa na kama utafanikiwa utakuwa na historia nzuri itakayokuwezesha kufanikiwa zaidi.

Ndio maana 2015 tunasema JUST DO IT.

Katika kufanya ndio unajifunza kweli.

FANYA SASA.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment