Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, February 11, 2015

NENO LA LEO; Siku Ya Furaha, Kifo Cha Furaha…

“As a well spent day brings happy sleep, so a life well spent brings happy death.” Leonardo da Vinci

Kama ilivyo siku iliyotumiwa vizuri  huleta usingizi wa furaha, ndivyo ilivyo maisha yaliyotumiwa vizuri huleta kifo cha furaha.

Huna haja ya kujali kama ukifa itakuwaje, tunajua kila mtu atakufa na hivyo ili kufikia kifo kwa furaha ishi maisha yako vizuri.

Ishi kila siku yako, furahia maisha na fanya kile ambacho umekuja kufanya duniani.

SOMA; Hiki Ndio Kitakachotokea Miaka 100 Ijayo..

Kama utaishi maisha yako kama wewe, bila ya kukazana kuiga wengine, utakuwa na maisha yenye furaha na kifo cha furaha pia.

Nakutakia siku njema.

SOMA; UKURASA WA 40; Amua Kuwa Wewe…

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment