Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, February 6, 2015

SIRI YA 10 YA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujiamini.

Kujiamini kunatokana na maandalizi mazuri.
Kujiamini hakutokani na "kujifanya mpaka utakapokuwa"
Kujiamini kunatokana na kufanya kitu mpaka unakuwa mtaalamu, unabonea.
Pale unapobobea kitu, unajiamini. Na unapojiamini unaweza kuanza kukamilisha vitu ambavyo hujawahi kufikiri ungeweza kukamilisha.

  “Confidence does not come out of nowhere. It’s the result of something…hours and days and weeks and years  of constant work and dedication.”  - Roger Staubach - Dallas Cowboys Quarterback

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment