Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, January 1, 2015

Kurasa 365 Za Mwaka 2015, Fursa Muhimu Kwako Kujifunza.

Mwaka huu 2015 una siku 365, ya kwanza ndio tunaimaliza leo, hivyo zimebaki siku 364 tu.

Chukulia siku hizi 365 kama kitabu kitupu chenye kurasa 365 na kila siku unapata nafasi ya kuandika kurasa moja kwenye kitabu hiki.

Je utachagua kuandika nini kwenye kila kurasa? Je umeandika nini kwenye ukurasa wa kwanza kabisa wa kitabu hiki kipya?

Katika kuhakikisha kwamba wewe unatumia siku hizi 365 vizuri, AMKA CONSULTANTS kupitia blog hii MAKIRITA AMANI itakuwa inakuletea makala fupi kila siku kwa mwaka mzima. Makala hizi zitalenga kukuwezesha wewe kujifunza, kuhamasika na hata kubadilika kifikra na hata matendo. Kwa kubadilika huku inakuwa rahisi kwako kuboresha maisha yako.

Twende pamoja kwenye safari hii ya kuboresha maisha yako 2015 na miaka mingi ijayo.

Kuhakikisha hukoso makala hizi za kila siku weka email yako hapo juu na kisha subscribe, baada ya hapo nenda kwenye email yako na ucomfirm ili uweze kuwa unapokea makala hizi moja kwa moja.

Pia unaweza kujiunga na blog hii MAKIRITA AMANI kwa kubonyeza HAPA.

Karibu sana kwenye safari hii nzuri ya kujifunza na kuhamasika kila siku.

TUPO PAMOJA.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment