Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, August 2, 2013

USIMZUIE MTU KUOTA.

  Katika jambo moja ambalo watanzania tumebobea ni kukosoa na kukatisha tamaa. Mtu anaweza kuwa na ndoto kubwa ia anapwaambia watu badala ya watu kumsaidia ni jinsi gani anaweza kuifikia ndot yake wanaanza kumkatisha tamaa kwamba hiyo ndoto haiwezekani.

  Hivi karibuni kumekuwa na mvutano kati ya wasanii wawili, ambao ni Sintah na Shilole. Mvutano huo ulianza baada ya shilole kusema atatoa wimbo na Jenifer Lopez msanii wa marekani. Sinta alimpinga Shilole na kusema kwamba HAIWEZEKANI kwa sasa shilole aweze kufanya ushirikiano na msanii huyo mkubwa.