Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, January 11, 2015

NENO LA LEO; Tengeneza Maisha Yako Hivi…

It’s your place in the world; it’s your life. Go on and do all you can with it, and make it the life you want to live. –Mae Jemison

Ni sehemu yako duniani, ni maisha yako. Nenda na ufanye kile unachoweza kufanya na maisha yako na yafanye kuwa maisha unayotaka kuishi.

Huna maisha mengine zaidi ya uliyonayo sasa, na usitegemee kuna mtu atakuja kukutengenezea maisha unayotaka wewe. Hiyo ni kazi yako. ANZA SASA KUIFANYA, ANZIA HAPO ULIPO, ANZA NA ULICHONACHO.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment