Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, January 10, 2015

Ulizaliwa na Uhuru Ila Hivi Ndivyo Ulivyoupoteza.

Msingi wa maisha ni uhuru wa kweli, ulizaliwa ukiwa na uhuru wa kila kitu kwenye maisha yako lakini jamii inayokuzunguka imekushawishi uuze uhuru wako ili kupata usalama.
Kwa njia hii umepoteza uhuru wako wa kuamua kutengeneza maisha unayotaka mwenyewe. Na kibaya zaidi unakosa vyote, uhuru na usalama.
Kujifunza zaidi jinsi ya kurudisha uhuru wako tembelea www.makiritaamani.blogspot.com kila siku.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment