Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, January 18, 2015

NENO LA LEO; Jinsi Ya Kuota Na Jinsi Ya Kuishi…

“Dream as if you'll live forever, live as if you'll die today.” James Dean

Ota kama vile utaishi milele na ishi kama vile utakufa leo.

Ukiota kama vile utaishi milele utadhubutu kuota mambo makubwa, kuweka malengo makubwa ambayo yataboresha maisha yake na hutafikiria kama ukifa itakuwaje, kwa sababu unafikiri kama vile utaishi milele.

Ukiishi kama vile unakufa leo utaishi maisha yako kama vile unavyotaka kuishi mwenyewe. Kama una siku moja tu ya kuishi hutoipotez akw akufanya mambo ambayo sio muhimu kwako, utafanya mema kwa wote na utakamilisha yale ambayo ni muhimu kwako.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment