Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, January 12, 2015

NENO LA LEO; Kwa Kufanya Hivi Umejilaani Mwenyewe.

You may be disappointed if you fail, but you are doomed if you don’t try. –Beverly Sills

Unaweza kukatishwa tamaa pale unaposhindwa ila umejilaani mwenyewe kama hutojaribu tena.

Kushindwa ni sehemu ya safari inayoelekea kwenye mafanikio. Kama utakubali kukatishwa tamaa na kushindwa utasahau kabisa kuhusu mafanikio.

Ila kama utajaribu tena hata baada ya kushindwa utaweza kufikia mafanikio makubwa.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment