Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, January 10, 2015

Wewe Ni Muumbaji... (Vitu Vitamu Muhimu Vya Kuzingatia)

Ndio wewe ni muumbaji...
Mawazo yako yanaumba...
Maneno yako yanaumba...
Matendo yako yanaumba...
Kuwa makini na vitu hivi vitatu ambavyo vina uhusiano wa karibu sana.
Vitu hivi vitatu ndio vimekufikisha hapo ulipo, iwe unapafurahia au la.
Vitu hivyo vitatu ndio vitakutoa hapo ulipo na kukufikisha unakotana.
Hakuna wa kukuzuia bali wewe mwenyewe.
Nenda kaumbe...

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment