Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, January 10, 2015

NENO LA LEO; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Nguvu Zako.

The most common way people give up their power is by thinking they don’t have any. –Alice Walker

Njia maarufu ambayo watu wanatumia kupoteza nguvu zao ni kwa kufikiri kwamba hawana nguvu.

Usijidanganye tena, unazo nguvu kubwa sana za kukuwezesha kutengeneza maisha unayotaka.

Anza sasa kutumia nguvu hizo na ubadili maisha yako.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment