Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, January 19, 2015

NENO LA LEO; Hiki Ni Kitu Unachotakiwa Kufanya Kila Siku.

“People often say that motivation doesn't last. Well, neither does bathing - that's why we recommend it daily.” Zig Ziglar

Watu wanasema kwamba hamasa haikai muda mrefu. Ndio ni kweli , lakini hata kuoga pia hakukai muda mrefu.

Ni muhimu sana kujihamasisha kila siku kama unavyooga kila siku.

Unaoga kila siku kwa sababu mwili wako unachafuka.

Unahitaji kuhamasika kila siku kwa sababu akili yako inachafuliwa na watu wenye mitizamo hasi waliokuzunguka.

Ukiacha tu kuisafisha kw akujihamasisha, uchafu huu unakusanyika na baadae unakuwa sumu kwako kufikia malengo yako.

Kujihamasisha tembelea mitandao hii;

AMKA MTANZANIA,

KISIMA CHA MAARIFA,

JIONGEZE UFAHAMU,

MAKIRITA AMANI,

VORACIOUS READERS

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment