Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, February 5, 2015

NENO LA LEO; Hakuna Atakayekuletea Ukombozi…

“You have to do it yourself, no one else will do it for you. You must work out your own salvation.” Charles E. Popplestone

Ni lazima ufanye mwenyewe, hakuna atakayeweza kufanya kwa niaba yako. Ni lazima ufanyie kazi ukombozi wako.

Unapolaumu watu, au hali, au taasisi maana yake nini?

Maana yake unaamini unayemlaumu ndio mwenye jukumu la kuboresha maisha yako.

Hapo ndio unapokosea na ndio maana maisha yako yanaendelea kuwa magumu.

SOMA; NENO LA LEO; Jinsi Ya Kuua Hofu

Tambua kwamba ukombozi wako uko mikononi mwako na hakuna atakayeweza kukufanyia hili.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment