Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, February 7, 2015

SIRI YA 12 YA MAFANIKO; Shika Hatamu Ya Maisha Yako.

Wewe ndio msimamizi wa maamuzi yako.
Pale unapompa mtu mwingine mamlaka haya unaacha kuwa kiongozi mkuu wa maisha yako.
Pale unapochukua majukumu ya maisha yako unakuwa msimamizi mkuu wa maisha yako.
Chukua hatima ya maisha yako, na utaamua maisha yako yaweje.

“If you don’t run your own life, someone else will.” - John Atkinson

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment