Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, February 4, 2015

NENO LA LEO; Viti Viwili Ambavyo Kila Mtu Anataka Kwenye Maisha.

“Deep down even the most hardened criminal is starving for the same thing that motivates the innocent baby: Love and acceptance” Lily Fairchilde

Ndani ya nafsi ya kila mtu, hata awe mhalifu kiasi gami, kila mtu ana njaa ya vitu viwili ambavyo vinamhamasisha hata mtoto; Upendo na Kukubalika.

Kila mtu anapenda kupendwa na kuoneshwa mapenzi ya dhati.

Kila mtu anapenda kukubalika kutokana na vile alivyo na kile anachofanya.

Haya ni mahitaji muhimu kwa kila binadamu bila ya kujali umri wake au hali yake.

SOMA; Hiki Ni Kitu Unachotakiwa Kufanya Kila Siku...

Unawezaje kuyatumia mahitaji haya? Yatoe kwa wale unaotaka kushirikiana nao na watakuonesha ushirikiano mkubwa sana.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment