Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, February 6, 2015

SIRI YA 8 YA MAFANIKIO; Amini Kila Kinachotokea Ni Kwa Sababu Muhimu.

Jifunze kuangalia jambo jema kwenye kila tatizo unalokutana nalo.
Kuna mambo mazuri sana unayoweza kujifunza kwenye kila changamoto.
Changamoto zipo ili kutupunguza mwendo na tuweze kujifunza mambo muhimu ya kutusaidia kufikia ndoto zetu.

“I always turn every disaster into an opportunity.”  - John Rockefeller

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment