Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, February 6, 2015

NENO LA LEO; Kama hutachukua hatua… Kama Hutauliza.

“If you don't go after what you want, you'll never have it. If you don't ask, the answer is always no. If you don't step forward, you're always in the same place.” Nora Roberts

Kama hutakifuata kile unachotaka, kamwe hutakuwa nacho. Kama hutauliza, mara zote jibu litakuwa ni hapana. Kama hutachukua hatua ya kusonga mbele, utaendelea kubaki hapo ulipo.

Ili mabadiliko ya kweli yatokee unahitaji kuanza kubadilika wewe kwanza. Kama unaendelea kubaki ulivyo na kutegemea kuna jinsi mabadiliko yanaweza kutokea unajidanganya bure.

Nakutakia siku njema.

SOMA; UMUHIMU WA KUSOMA ZAIDI NA KUSOMA KILA MARA;

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment