Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, February 6, 2015

SIRI YA 9 YA MAFANIKIO; Lenga Jitihada Zako Zote Sehemu Moja.

Amua ni kitu gani muhimu kwako na lenga nguvu zako zote katika kukipata.
Unapolenga nguvu zako zote kwenye lengo moja, nafasi ya kupata mafanikio ni ya uhakika mkubwa.
Ukilenga nguvu zako kwenye malengo mawilu, nafasi yako ya kufanikiwa inashuka na kufikia asilimia 66.
Ukigawa nguvu zako kwenye malengo matatu nafasi yako ya mafanikio inashuka na kuwa asilimia 25.
Watu waliofikia mafanikio makubwa wanalenga nguvu zao kwenye lengo moja na wakishalitimiza wanaenda kwenye lengo jingine.

  “The number one rule of success is the ability to apply your physical and mental energies to one problem incessantly without growing weary.”  - Thomas Edison

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment