Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, February 8, 2015

SIRI YA 13 YA MAFANIKIO; Fanya Kazi Na Wengine Ili Kila Mmoja Anufaike.

Kujenga mahusiano mazuri na watu ni jambo muhimu sana kufikia mafanikio yako. Hii ni kwa sababu mafanikio yako yanategemea sana mchango wa watu wengine.
Unaweza kufanikisha mengi ukiwa na wengine kuliko unavyoweza ukiwa mwenyewe.
Jua ni jinsi gani wengine wanaweza kunufaika na wewe na hii itawafanya waweze kushirikiana na wewe vizuri.
Jifunze mbinu za uongozi ambazo zitakuwezesha kuwashawishi wengine waweze kushirikiana na wewe.

“Coming together is a beginning; staying together is a progress;  working together is success.”  - Henry Ford

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment