Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, February 7, 2015

SIRI YA 11 YA MAFANIKIO; Yazike Mawazo Hasi

Changamoto kubwa kwenye njia ya mafanikio ni kuweza kuitawala nafsi yako.
Haijalishi unafanya nini, kuna wakati utakuwa na wasiwasi kama unaweza au kuwa na mtafaruku ndani ya nafsi yako kama ufanye au usifanye kile kitakachokufikisha kwenye malengo yako.
Mara zote jiulize ni kitu gani kikubwa naweza kufanya sasa na kikanisogeza karibu na malengo yangu?

“I count him braver who overcomes his desires than him who conquers his enemies; for the hardest victory is the victory over self.”  - Aristotle

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment