Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, February 3, 2015

SIRI YA 5 YA MAFANIKIO; Jiamini Na Utaweza Kufikia Ndoto Zako.

Kama unwamini kitu kinawezekana na mtizamo wako ni kuwa tayari kufanya chochote na kwa muda wowote kukipata, basi mafanikio kwako ni swala la muda tu. Kwa hali hii unakuwa na uhakika wa kufikia mafaniko kwenye jambo lolote unalofanya.
Unaweza kujiongezea kujiamini kwa kusoma vitabu vya kujijenga, kusoma blogs za kukufundisha na kukuhamasisha na hata kuhudhuria semina mbalimbali.
Kama utaweka vitu vizuri kwenye akili yako, utakuwa imara na utajiamini zaidi.
Blog nzuri kwako kutembelea kwa ajili ya kujifunza na kuhamasika ni,
MAKIRITA AMANI
AMKA MTANZANIA
JIONGEZE UFAHAMU
KISIMA CHA MAARIFA.

“Whether you think you can or think you can’t – you are right.” - Henry Ford

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment