Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, February 5, 2015

SIRA YA 7 YA MAFANIKIO; Fikiria Mawazo Ya Kukujenga.

Kile unachofikiri kinaamua ni nini utafanya. Kila unachofikiri kila mara kitaamua ni wapi utakapoishia na maisha yako.
Hii ndio sababu kubwa kwa nini ni muhimu wewe kushirikiana na watu wenye mawazo ya mafanikio.
Kwa kutengeneza timu ambayo mtashirikiana na kusaidiana, utajitengenezea uhakika wa kufanikiwa.

“What’s going on in the inside shows up on the outside.” - Earl Nightingale

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment