Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, February 8, 2015

NENO LA LEO; Hakuna Wa Kukuhamasisha…

“No one can motivate you to do anything. You motivate yourself, based on information you receive and how directly you can relate it to your own potential achievement.” Mark Barnes

Hakuna yeyote anayeweza kukuhamasisha kufanya kitu. Unajihamasisha mwenyewe kulingana na taarifa unazopokea na jinsi unavyoweza kuzihusisha na mafanikio unayotaka.

Taarifa zote unazozipata kupitia blog hizi nzuri za kukufundisha na kukuhamasisha, unazitumia kujihamasisha mwenyewe na kisha kuchukua hatua.

Usifikiri kwa kupata taarifa hivi tu kunakutosha wewe kubadili maisha yako, ni lazima uchukue hatua.

Kuendelea kupata taarifa nzuri tembelea AMKA MTANZANIA, KISIMA CHA MAARIFA, JIONGEZE UFAHAMU, MAKIRITA AMANI.

Nakutakia siku njema.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment