Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, February 10, 2015

NENO LA LEO; Hatari Kubwa Inayokunyemelea…

“The greater danger for most of us lies not in setting our aim too high and falling short; but in setting our aim too low, and achieving our mark.” Michelangelo

Hatari kubwa iliyopo ndani yetu sio kuweka malengo makubwa na kushindwa kuyafikia, bali kuweka malengo madogo na kuyafikia.

Kila mmoja wetu ana uwezo mkubwa sana ndani yake.

Kama unaweka malengo madogo na ukayafikia ni sawa na kuua uwezo mkubwa uliopo ndani yako.

Kama utaweka malengo makubwa ambayo unafikiri huwezi kuyafikia yatakusukuma ufanye zaidi ili uweze kuyafikia na hapo utatumia uwezo mkubwa uliopo ndani yako.

Nakutakia siku njema.

SOMA; UKURASA WA 40; Amua Kuwa Wewe…

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment