Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, February 7, 2015

UKURASA WA 38; Uaminifu, Kitu Muhimu Kitakachokuwezesha Kupata Unachotaka.

Kwa mfano akaja mtu kwako akakuambia ana shida na anahutaji tsh laki moja ili akafanye mambo yake muhimu na atakurejeshea. Mtu huyu humfahamu kabisa, je utatoa fedha hiyo na kumpatia?

Vipi akaja mtu mwingine ambaye ulishasikia habari zake kwamba akipewa fedha anarudisha. Au huenda ulishampa fedha kipindi cha nyuma na akakurudishia bila matatizo.

SOMA;  Huyu Ni Mjasiriamali Mwenye Hamasa Kubwa sana. Unaweza kujifunza kila kitu kutoka kwake.

Kati ya watu hawa wawili ni yupi utakuwa tayari kumpa fedha zako?

Nafikiri kile mtu atakuwa tayari kutoa fedha zake kwa mtu wa pili.

Uaminifu ni kitu muhimu sana kitakachokuwezesha kupata ushirikiano kutoka kwa watu wengine. Na kumbuka ushirikiano wa wengine ni muhimu sana kwenye mafanikio yako.

Timiza ulichoahidi, usiwe mtu wa maneno mengi na vitendo kidogo, ongea kile unachoweza kutimiza.

TAMKO LA LEO;

Najua uaminifu ni kitu muhimu sana kwangu kuweza kufikia mafanikio. Nitalinda uaminifu wangu, nitatekeleza ninachoahidi na nitapunguza maneno na kuongeza vitendo.

Tukutane kwenye ukurasa wa 39 kesho.

Kuhakikisha hukosi mfululizo huu wa makala za KURASA 365 bonyeza hapa na uweke email.

Kusoma makala zilizopita za KURASA 365 ZA MWAKA 2015 bonyeza hayo maandishi.

Pia washirikishe wengine makala hii kwa kubonyeza vitufe vya facebook au twitter hapo chini.

Kwa lolote andika email kwenda makirita@kisimachamaarifa.co.tz

Kujifunza zaidi ili kuweza kufikia mafanikio makubwa jiunge na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza hayo maandishi kupata utaratibu.

TUPO PAMOJA.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment