Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, February 5, 2015

SIRI YA 6 YA MAFANIKIO; Tumia Nguvu Yako Kuchagua.

Haijalishi upo katika hali gani, unayo nguvu ya kuchagua ni jinsi gani hali hiyo itakuathiri.
Una nguvu ya kuchagua watu unaotaka kushirikiana nao.
Una nguvu yankuchagua jinsi utakavyotumia muda wako.
Una nguvu ya kuchagua ni vitabu gani usome.
Una nguvu ya kuchagua ni hatua gani utachukua dakika tano zijazo ili kujisogeza kufikia malengo yako.
Ndoto zako zipo kwa ajili ya wewe kuzifanyia kazi...
Je utatengeneza maisha mazuri? Uchaguzi ni wako.... 

  “Everything can be taken from a man but one thing; the last of the human freedoms – to choose one’s attitude in any given set of circumstances,  to choose one’s own way.”  - Viktor Frankl

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment