Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, February 3, 2015

NENO LA LEO; Jinsi Ya Kupata Fursa Bora.

“There are fish in the sea better than have ever been caught” Irish Sayings

Bahari imejaa samaki ambao ni bora kuliko ambao wamewahi kuvuliwa.

Kama unafikiri fursa zimeisha na hivyo huna cha kufanya, unajidanganya.

Kuna fursa nyingi sana na nzuri zaidi ya hizi ambazo zimeshatumia.

Jukumu lako ni kutumia akili yako vizuri, fikiria na angalia mazingira yanayokuzunguka na lazima utapata fursa bora sana kwako.

Nakutakia siku njema.

SOMA; SIRI YA 2 YA MAFANIKIO; Tumia Chochote Kitakachokuwezesha Kufikia Malengo Yako.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment