Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, March 8, 2015

NENO LA LEO; Tofauti Ya Kinachowezekana NA Kisichowezekana.

The difference between the impossible and the possible lies in a man's determination. -Tommy Lasorda

Tofauti ya kinachowezekana na kisichowezekana ipo kwenye maamuzi ya mtu.

Kama utaamua kwamba inawezekana basi ni kweli inawezekana na utafanya mambo makubwa.

Kama utaamua haiwezekani ni kweli haitawezekana na hata ukijaribu kwa kiasi gani utaishia kushindwa.

Hakuna anayeweza kukulazimisha kitu kiwezekane kama wewe mwenyewe umeamua kisiwezekane.

Kila litu kinaanzia kwenye maamuzi yako.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Matatizo Yote Kwenye Maisha Yako Yanatokana Na Kitu Hiki.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment