Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Wednesday, March 11, 2015

NENO LA LEO; Umuhimu Wa Kuwa Makini Na Maneno Yako…

Once a word leaves your mouth, you cannot chase it back even with the swiftest horse. -Chinese Proverbs

Neno likishatoka kwenye kinywa chako, huwezi kulikamata na kulirudisha hata kama ungetumia farasi mwenye mwendo kiasi gani.

Kuwa makini sana na kile unachosema, kinaweza kuwa na madhara makubwa kwako au kwa yule kinayemfikia.

Kabal ya kusema neno lolote jiulize je neno hilo litajenga au litabomoa? Je neno hilo litasaidia hali kuwa nzuri zaidi? Je neno hilo litakuweka katika hali gani?

Kama unaona neno unalotaka kusema litaleta matatizo zaidi ni afadhali ukae kimya.

Na ukiweza hili maana yake utaacha umbea na majungu.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Tabia Tano unazoweza kujifunza na ukaboresha maisha yako.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment