Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Tuesday, March 3, 2015

NENO LA LEO; Elekeza Uso Wako Hapa.

“Keep your face always toward the sunshine - and shadows will fall behind you.” —Walt Whitman

Mara zote elekeza uso wako kwenye mwanga wa jua na kivuli kutaanguka nyuma yako.

Angalia lile lililojema kwenye maisha yako na mabaya yataanguka nyuma.

Usipoteze muda wako kuangalia mabaya, hakuna utakachofaidika nacho.

Nakutakia siku njema.

SOMA; NENO LA LEO; Njia Moja Ya Uhakika Ya Kuepuka Kupingwa.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment