Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, March 1, 2015

NENO LA LEO; Angalia Hapa…

It is better to look ahead & prepare than to look back & regret. -Jackie Joyner-Kersee

Ni bora kuangalia mbele na kujiandaa kuliko kuangalia nyuma na kujutia.

Jana imeshapita, jambo lolote ulilofanya jana huwezi kulibadili tena, ila unaweza tu kujifunza.

Kesho bado haijafika, ila unaweza kuishi vizuri leo na kujiandaa kwa ajili ya kesho.

SOMA; Okoa Muda Huu Muhimu Ambao Unaupoteza Kila Siku Na Kukuchelewesha Kufikia Mafanikio.

Hivyo usipoteze muda wako mwingi kuangalia nyuma na kujuta, haitakusaidia ni afadhali utumie muda huo kujiandaa kwa ajili ya baadae.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Vitu Vitatu Vitakavyokufanya Uwe Na Hamasa Ya Kufikia Mafanikio.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment