Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Saturday, March 14, 2015

NENO LA LEO; Chanzo Kikubwa Cha Msongo Wa Mawazo.

“Majority of people who are easily stressed are the one's who think too much about the problems instead of solutions. Always focus on solutions. - Subodh Gupta.

Watu wengi ambao ni rahisi kupata msongo wa mawazo ni wale ambao wanafikiria sana kuhusu matatizo kuliko suluhisho. Mara zote kazana kufikiria kuhusu suluhisho.

Kile unachofikiria kwa muda mrefu ndio kinachotokea kwenye maisha yaki.

Kama utafikirioa sana kuhusu matatizo, basi matatizo zaidi yatatokea kwenye maisha yako.

Kama utafirikia kuhusu suluhisho basi utaona suluhisho la matatizo yako.

SOMA; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwa Jasiri Na Kufanya Mambo Makubwa Zaidi Ya Unavyofikiria.

Pia unapoweza nguvu zako nyingi kwenye kufikiria matatizo hakuna chochote unachofanya kutatua tatizo hilo. Kufikiria tu kuhusu tatizo hakulisaidii kwa njia yoyote ile.

Fikiria kuhusu suluhisho na utaona matatizo yanakimbia yenyewe.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Hivi ndivyo unavyoweza kununua Hisa katika soko la Hisa la Dar es salaam (DSE)

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment