Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, March 12, 2015

NENO LA LEO; Unachotakiwa Kusema Unaposhinda Na Unaposhindwa.

When you win, say nothing, when you lose, say less. -Paul Brown

Unaposhinda usiseme chochote. Unaposhindwa sema kidogo.

Binadamu tuna tabia ya kusema sana hasa pale tunaposhinda, tunaona kwamba sisi ndio tunaweza sana kuliko wengine. Mara nyingi hii sio kweli. Badala ya kupoteza muda mwingi kusema pale unaposhinda kwa nini usitumie muda huo kuendelea kufanya kile unachofanya vizuri?

SOMA; Mambo Matano(5) Ya Kufanya Wakati Unaelekea Kukata Tamaa.

Na hata pale unaposhindwa usiseme sana, usianze kulalamika kwamba wewe umejaribu sana ila umeshindwa, usianze kusema kwamba wewe huna bahati, usianze kusema kwamba kuna watu wanakuzibia. Tumia muda huo wa kusema sana kuweka mipango mipya itakayokuwezesha kufanikiwa.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Mambo 10 Rahisi Unayoweza Kuanza Kufanya Leo Na Ukaboresha Maisha Yako.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment