Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, March 6, 2015

NENO LA LEO; Kitu Muhimu Kuvaa Kuliko Nguo.

Nothing you wear is more important than your smile. – Connie Stevens

Hakuna kitu muhimu unachoweza kuvaa kama tabasamu.

Muda wote vaa tabasamu, hapana sio muda wote, ila tabasamu ni muhimu.

Tabasamu linakarisha watu, tabasamu linaleta ushirikiano na tabasamu linaonesha kujali.

Zawadi bora unayoweza kumpa mtu ni tabasamu.

Na silaha bora unayoweza kuitumia pale mtu anapokutukana ni tabasamu.

TABASAM

Nakutakia siku njema.

SOMA; Orodha Mpya Ya Mabilionea; Mambo Kumi Ya Kuzingati Ili Na Wewe Uweze Kuingia Kwenye Orodha Hii Siku Za Baadae.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment