Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, March 9, 2015

NENO LA LEO; Kitu Cha Kuogopa Na Ambacho Sio Cha Kuogopa.

Do not fear going forward slowly; fear only to stand still. - Chinese Proverb

Usiogope kwenda mbele taratibu; Ogopa kusimama.

Kama upo kwenye mwendo usiogope mwendokasi unaotumia, kwani vyovyote vile hutabaki kama ulivyo sasa.

Ila kama haupo kwneye mwendo kabisa, yaani umesimama unahitaji kuchukua hatua haraka sana maana utaendelea kuwa kama ulivyo sasa.

Chochote unachofanya hakikisha unasonga mbele.

SOMA; Vitu VITATU Vinavyoathiri Kipato Chako Na Jinsi Ya Kukiongeza.

Martin Luther King alisema kama huwezi kuruka kimbia, kama huwezi kukimbia tembea, kama huwezi kutembea tambaa. Chochote unachofanya hakikisha unasonga mbele.

Nakutakia siku njema na hakikisha leo unasonga mbele kwenye kazi yako, biashara yako na hata maisha yako kwa ujumla.

TUPO PAMOJA.

SOMA; Adui Yako Anaanzia Hapo Ulipo Na Anaanza hivi.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment