Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, March 15, 2015

NENO LA LEO; Kitu Kimoja Kitakachokujengea Kujiamini Na Kujithamini.

Nothing builds self-esteem and self-confidence like accomplishment. -Thomas Carlyle

Hakuna kinachoweza kukujengea kuajiamini na kujikubali kama kukamilisha jambo.

Unapokamilisha jambo lolote ulilopanga kufanya unapata hali kubwa ya kujiamini na kujithamini.

Ila pale unapopanga kufanya kitu halafu ukashindwa kukikamilisha unajiona huna thamani na hata kujitharau.

Kama unataka kuanza kujijengea tabia ya kujiamini anza kuweka mipango ambayo utaitekeleza kwa ukamilifu. Na utaanza kujiona wewe ni mtu ambaye upo makini na mambo yako na hii itafanya ujiamini.

Nakutakia siku njema.

SOMA; SIRI YA 10 YA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kujiamini.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment