Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Sunday, April 5, 2015

NENO LA LEO; Unajua Kwa Nini Unakaa Kwenye Kivuli Leo?

“Someone's sitting in the shade today because someone planted a tree a long time ago.” ― Warren Buffett

Kuna mtu anakaa kwenye kivuli leo kwa sababu kuna mtu alipanda mti miaka mingi iliyopita.

Mambo mengi tunayofaidi leo ni kwa sababu watu waliopita waliandaa mazingira mazuri. Hii ina maana kwamba na sisi tunao wajibu wa kuandaa mazingira mazuri kwa vizazi vijavyo.

SOMA; BIASHARA LEO; Lengo La Biashara Sio Kupata Faida, Bali Ni Hili Hapa.

Jiulize kwa maisha unayoishi, kwa kazi unayofanya, kwa biashara unayofanya je watu watakaokuja baada yako watafaidika? Kama jibu ni ndio endelea kuifanya. Kama jibu ni hapana iache mara moja.

Tusiishi hapa duniani kama sisi ndio kizazi cha mwisho, tuandae mazingira mazuri kwa wale wanaokuja pia.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Katika Kula Ujana Usifanye Mambo Haya Matano, Utajutia Maisha Yako Yote.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment