Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Monday, April 6, 2015

NENO LA LEO; Mipango Sio Muhimu Kama Kitu Hiki.

“Plans are of little importance, but planning is essential.” ― Winston Churchill

Mipango inaweza isiwe muhimu sana, ila kupanga ni muhimu mno.

Unaweza kuwa na mipango lakini usiifikie, ni jambo la kawaida kwa sababu mambo yanabadilika.

SOMA; USHAURI; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Fedha Bila Ya Wewe Mwenyewe Kujua.

Lakini unapopanga kitu, unapofanya zoezi lenyewe na kupanga, unakiangalia kitu kwa undani zaidi na hivyo kuweza kujua mambo mengi zaidi. Hii itakuwezesha kuona njia nyingine muhimu unazoweza kutumia katika hali hiyo.

Badala ya kuangalia ni mpango gani unaoweza kutumia kufanya chochote unachotaka kufanya, hebu kaa chini na uanze kupanga. Utafikiri kwa kina zaidi na utapata kujua mengi zaidi.

Nakutakia siku njema.

SOMA; Hiki Ndio Kitu Kitakachokuletea Mafanikio Ambacho Tayari Unacho.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment