Jiunge Hapa Kupata Makala Mpya Inapotoka!

We'll not spam mate! We promise.

Thursday, April 2, 2015

NENO LA LEO; Hiki Ndio Chanzo Cha Wivu.

“Envy comes from people’s ignorance of, or lack of belief, in their own gifts.” ― Jean Vanier

Wivu unatokana na ujunga wa watu, au kushindwa kuamini zawadi zao wenyewe.

Unapokuwa na wivu kwa watu wengine maana yake unaona wewe huwezi. Kama unaona huwezi maana yake bado hujajua zawadi iliyopo ndani yako au kama unaijua basi huamini kama unaweza kutumia zawadi hiyo na ukaboresha maisha yako.

SOMA; MIAKA MIWILI YA AMKA MTANZANIA; Kwa Nini Ipo Na Itaendelea Kuwepo Na Mambo Mazuri Yanayokuja.

Muda unaotumia kuonea wivu wengine hebu uokoe na anza kutumia zawadi kubwa iliyipo ndani yako. Huwezi kuwa kama wao ila unaweza kuwa bora sana kwa kile ambacho wewe unacho.

Lakini ukiendelea kupoteza muda wako kuonea wengine wivu utaishia kubaki hapo ulipo huku wenzako wakiendelea kusonga mbele.

Nakutakia siku njema.

SOMA; BIASHARA LEO; Fukuza Wateja Hawa, Ni Mzigo Kwako.

Tafadhali Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment